Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Utengenezaji wa madirisha mawili la Shekh Mufiid na shekh Tusi
Kazi hii imefanywa kwa makubaliano na Atabatu Abbasiyya tukufu yaliyo fanywa mwishoni mwa mwezi wa Ramadhani mwaka (1438h), kutokana na uwezo walionao watumishi wa kiwanda cha Saqaa katika utengenezaji wa wamdirisha, baada ya mafanikio makubwa waliyo pata katika utengenezaji wa dirisha la kaburi la Abulfadhil Abbasi (a.s), baada ya kukubaliana kuanza kazi, wataalamu wetu walianza kuandaa mchoro, kazi iliyo fanywa na wabobezi wa fani hiyo ambao matunda ya kazi yao yameonekana wazi kwa kutengenezwa madirisha bora zaidi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
27-07-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 10
Zaidi