Baada ya kumaliza kuweka marumaru katika haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), sasa kazi hiyo imehamia katika ukumbi wa haram, watumishi wa kitengo cha miradi ya kihandisi na kitengo cha uangalizi wa Atabatu Abbasiyya wameanza hatua ya kwanza ya mradi huo, inayo husisha kuweka marumaru kwenye sakafu na eneo la baina ya sakafu na Kashi Karbalai kwa tukumia marumaru za kifahari.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 6
Zaidi