Vituo vya kusafisha maji (R.O station)
Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya miradi mingi ya utowaji wa huduma, miongoni mwa miradi hiyo ipo inayo mgusa moja kwa moja mwananchi wa Iraq, imefanya kila iwezalo kuwapunguzia matatizo, miongoni mwa matatizo ambayo imejitahidi kuyapunguza ni tatizo la maji, imejenga vituo vya kusafisha maji (R.O station) katika maeneo tofauti, wanufaika wa mradi huu ni zaidi ya maelfu kwa maelu ya wananchi pamoja na mazuwaru na mawakibu, kuna baadhi ya vituo vimejengwa rasmi kwa ajili ya kuwahudumia wao (mazuwaru na mawakibu).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 18
Atabatu Abbasiyya tukufu inagawa maji safi kwa vijiji vinne
13-07-2021
Atabatu Abbasiyya tukufu inagawa maji safi kwa vijiji vinne
Watumishi wa idara ya maji chini ya kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, wamejenga kituo cha maji (R.O station) katika kijiji cha Baidhwah mkoani Muthanna, kwa lengo la kugawa maji kwa wakazi ...
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 87
Zaidi