Atabatu Abbasiyya tukufu imejenga kituo cha kusafisha maji kwa ajili ya wakazi na mazuwaru
23-05-2022
Atabatu Abbasiyya tukufu imejenga kituo cha kusafisha maji kwa ajili ya wakazi na mazuwaru
Idara ya maji chini ya kitengo cha miradi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imemaliza ujenzi wa kituo cha kusafisha maji (R.O station) katika moja ya sehemu za utoaji wa huduma katika barabara ya (Baabil – Karbala), ...