Kupitia hafla ya ufunguzi.. Sayyid Swafi ametangaza misaada ya chupa za maji ya dripu kwa taasisi za afya Palestina na Lebanon
16-10-2024
Kupitia hafla ya ufunguzi.. Sayyid Swafi ametangaza misaada ya chupa za maji ya dripu kwa taasisi za afya Palestina na Lebanon
Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya Sayyid Ahmadi Swafi, ameongea kuhusu misaada ya vifaa-tiba kwa taasisi za afya nchini Palestina na Lebanon.
Ufuatao ni ujumbe aliotoa wakati ya ufunguzi wa kiwanda ch ...