Mradi wa kiwanda cha vifaa tiba.
Kitokana na upungufu wa vifaa tiba, na juhudu za Atabatu Abbasiyya tukufu ya kuendeleza viwanda vya dawa hapa Iraq, na kutokana na haja ya vifaa hivyo sambamba na ongezeko la wananchi, na katika kupambana na changamoto ya vifaa tiba kwa ujumla, ndipo Ataba ikaamua kujenga kiwanda hiki kwa ajili ya kuwatumikia raia wa Iraq.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 19
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 64
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 7