Kuanza kuweka vioo kwenye paa la sardabu ya Imamu Jawaad (a.s)
05-09-2021
Kuanza kuweka vioo kwenye paa la sardabu ya Imamu Jawaad (a.s)
Kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimeanza mradi wa kuweka vioo katika paa (dari) la sardabu ya Imamu Jawaad (a.s), ambayo ipo chini ya haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), upande wa ...