Miongoni mwa hatua za ukarabati wake: Kukamilika kwa kazi ya kuweka marumaru katika mlango wa Imamu Ali Haadi (a.s) kwa ndani
07-02-2021
Miongoni mwa hatua za ukarabati wake: Kukamilika kwa kazi ya kuweka marumaru katika mlango wa Imamu Ali Haadi (a.s) kwa ndani
Watumishi wa mradi wa kukarabati mlango wa Imamu Ali Haadi (a.s), uliopo upande wa kaskazini mashariki ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa ndani, wamekamilisha kazi ya kuweka marumaru kwenye eneo la mlango huo hadi k ...