Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Milango ya haram tukufu
Mradi wa upanuzi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) umehusisha sehemu nyingi zote kwa ujumla ni sehemu za ukamilifu wa mradi mkubwa mmoja, ambao haujafanywa na Ataba zetu kwa karne nyingi, miongoni mwa miradi hiyo ni upanuzi wa milango ya haram tukufu (milango mikuu).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 37
26-03-2024
26-11-2021
01-08-2021
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 187
Zaidi