Kitengo cha usimamizi wa kihandisi chakamilisha hatua ya kwanza ya mradi wa kujenga jengo la watoto.
20-06-2019
Kitengo cha usimamizi wa kihandisi chakamilisha hatua ya kwanza ya mradi wa kujenga jengo la watoto.
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya wanaendelea na ujenzi wa shule ya watoto, wamemaliza hatua ya kwanza na kuingia hatua ya pili, wamefanya kazi kubwa kukamilisha kazi walizo pangiwa k ...