Shule ya kulea watoto chini ya mwenendo wa Ahlulbait (a.s)
Shule ya kulea watoto chini ya mwenendo wa Ahlulbait (a.s), ni moja ya miradi ya kimalezi ambayo ipo chini ya shule ya Darul-Ilmi iliyopo Atabatu Abbasiyya, inalenga kuongeza uelewa na maarifa ya turathi kwa vijana, kwa kutumia zana za kisasa na kwa namna inayo endana na uwezo wa kiakili wa kila kikundi, siku za nyuma walikua wanafundishia katika Husseiniyya na misikiti, baada ya kupata mwitikio mkubwa ndipo ikaja fikra ya kujenga shule hii itakayo lea harakati hizo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Hatua ya mwisho ya mradi wa nyumba ya kulea watoto
17-11-2020
Hatua ya mwisho ya mradi wa nyumba ya kulea watoto
Mradi wa ujenzi wa nyumba ya kulea watoto kwa mujibu wa mafundisho ya Ahlulbait (a.s) umepiga hatua kubwa, tayali sehemu kubwa ya ujenzi imekamilika, watekelezaji wa mradi huu ambao ni kitengo cha majengo ya kihandisi ka ...
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 14
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 2