Jengo la wanafunzi wa kutwa wa kitivo cha udaktari wa meno katika chuo kikuu cha Al-Ameed
Jengo linaukubwa wa mita za mraba (420) na linaghorofa nne, tabaka la chini kuna ofisi tatu za idara na chumba cha mapokezi pamoja na vyumba vingine vya mionzi, na ghorofa tatu kila moja inakumbi mbili za madarasa, kila darasa likiwa na uwezo wa kuingia wanafunzi (28) wa kukaa umbali unaotakiwa kiafya kati ya mtu na mtu, pamoja na vifaa vyote vinavyo hitajika kwa ajili ya wanafunzi (28) na vifaa-tiba vingine.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Chuo kikuu cha Al-Ameed kimezindua jengo la udaktari wa meno
04-04-2021
Chuo kikuu cha Al-Ameed kimezindua jengo la udaktari wa meno
Chuo kikuu cha Al-Ameed chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu asubuhi ya leo siku ya Jumapili mwezi (21 Shabani 1442h) sawa na tarehe (4 Aprili 2021m) imezindua jengo maalum kwa ajili ya mchepuo wa udaktari wa meno.
Uzind ...
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 47
Zaidi