Kukamilika kwa mradi wa jengo la wanafunzi wa kitivo cha tiba ya meno katika chuo kikuu cha Al-Ameed
04-01-2021
Kukamilika kwa mradi wa jengo la wanafunzi wa kitivo cha tiba ya meno katika chuo kikuu cha Al-Ameed
Kitengo cha majengo ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza kukamilika mradi wa jengo la wanafunzi wa kitivo cha tiba ya meno katika chuo kikuu cha Al-Ameed, kilichopo kitongoji cha Saádiyya kwenye mkoa ...