Baada ya kufanikiwa ujenzi wa Sardabu ya Imamu Aljawaad (a.s) ambayo ipo chini ya uwanja wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) upande wa mashariki, ambao ni mradi kubwa wa kwanza katika ujenzi wa Sardabu na kuweza kupokea idadi kubwa ya mazuwaru (wa kike) kwenye ziara ya Arubainiyya iliyopita, mafanikio hayo yametupa moyo kwa kiwango kikubwa na kupelekea uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya kupitisha maamuzi ya ujenzi wa sardabu kwa awamu ya pili chini ya uwanja wa haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s), Sardabu hii ya pili imepewa jina la mtukufu zaidi mbele ya mwezi wa bani Hashim (a.s) nalo ni (Sardabu ya Imamu Hussein –a.s-) ipo mkabala na uwanja wa bwana wa mashahidi (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 11
Sayyid Swafi azindua Sardabu ya Imamu Hussein na Imamu Jawaad (a.s).
05-02-2023
Sayyid Swafi azindua Sardabu ya Imamu Hussein na Imamu Jawaad (a.s).
Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu Sayyid Ahmadi Swafi leo siku ya Jumapili amezindua Sardadu mbili ya Imamu Hussein na Imamu Jawaad (a.s).
Uzinduzi huo umefanywa sambamba na maadhimisho ya kumb ...
Zaidi