Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
upanuzi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa kupaua uwanja wake mtukufu
Mradi huu ni kwa ajili ya kuhakikisha zaairu anapata amani na utulivu wa hali ya juu, unahusika na kuweka mazingira ya kumlinda zaairu kutokana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa wakati wa baridi na joto (mvua na jua), ikiwa ni pamoja na kuongeza uzuri wa muonekano wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), ujenzi huu haujazuwia kuona anga, pamoja na kulinda utukufu wa eneo hili, unapokua ndani ya uwanja wa haram tukufu uliopauliwa utaweza kuona anga na minara mitukufu kupitia kubba za viyoo zilizo tumika kupaulia uwanja huo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 49
22-06-2019
18-03-2017
18-03-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 569
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 25