Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona
Katika kufanyia kazi maelekezo ya Marjaa Dini mkuu ya kusaidia sekta ya afya, na kutokana na mkakati wa Atabatu Abbasiyya tukufu, wa kuilinda jamii na virusi vya Korona, mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, wameanza kazi ya kujenga kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona katika mji wa Imamu Hussein (a.s) hapa Karbala, chini ya uangalizi wa idara ya madaktari wa Ataba na hospitali ya rufaa Alkafeel, kwa ajili ya kujiandaa kutoa huduma kwa wagonjwa wa Korona –Alla atuepushie-.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 39
11-04-2021
12-04-2020
11-04-2020
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 182
Zaidi