Kiongozi mkuu wa kisheria ametembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona ambacho kimekamilika kwa asilimia
09-04-2020
Kiongozi mkuu wa kisheria ametembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona ambacho kimekamilika kwa asilimia
Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi siku ya Alkhamisi ya mwezi (15 Shabani 1441h) sawa na tarehe (9 Aprili 2020m), amekwenda kuangalia hatua za mwisho za ujenzi, kwani ...