Kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona katika hospitali kuu ya Hindiyya
Kituo kinacho jengwa na Ataba tukufu katika hospitali kuu ya Hindiyya kitakua maalum kwa ajili ya watu walio ambukizwa virusi vya Korona, aidha kitaendelea kutoa huduma za afya baada ya kuisha maradhi ya Korona, kwani kituo hicho ni sehemu ya hospitali, ujenzi wake ni sawa na upanuzi wa hospitali na kuongeza uwezo wake, ujenzi ulianza baada ya makubaliano yaliyo fanywa na idara ya afya ya mkoa wa Karbala pamoja na idara ya hospitali kuu ya Hindiyya ambayo ndio upande nufaika.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 23
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 92
Zaidi