Mbele ya waziri wa afya wa Iraq: Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya ufunguzi wa jengo la Alhayaat la tatu katika hospitali kuu ya Hindiyya
26-04-2020
Mbele ya waziri wa afya wa Iraq: Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya ufunguzi wa jengo la Alhayaat la tatu katika hospitali kuu ya Hindiyya
Alasiri ya Jumapili mwezi (2 Ramadhani 1441h) sawa na tarehe (26 Aprili 2020m) jengo la Alhayaat la tatu limefunguliwa rasmi, jengo hilo limejengwa na Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia kitengo cha usimamizi wa kihandisi, ...