Mradi wa (Nyumba za makazi Alwafaa) kwa ajili ya familia za mashahidi wa kikosi cha Abbasi (a.s) umepiga hatua kubwa.
26-11-2019
Mradi wa (Nyumba za makazi Alwafaa) kwa ajili ya familia za mashahidi wa kikosi cha Abbasi (a.s) umepiga hatua kubwa.
Kutokana na msaada wa Atabatu Abbasiyya tukufu, kazi ya ujenzi wa nyumba za makazi Alwafaa (Daru Ummul-Banina –a.s-), nyumba maalum za kuishi familia za mashahidi wa kikosi cha Abbasi (a.s), kama sehemu ya kuonyesh ...