Kituo hicho kinajengwa kwenye eneo la hospitali ya Imamu Hussein (a.s) makao makuu ya mkoa, kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita (3500) kitakuwa na vyumba vya wagonjwa (114), kinajengwa kwa kufuata vigezo vya wanufaika na kanuni za afya, pamoja na kutekeleza masharti yote ya kujikinga na maambukizi wakati wa kazi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 28
Zaidi