Hatua ya mwisho katika mradi wa ujenzi wa kituo cha Alhayaat cha sita kwa ajili ya kuhudumia watu walioambukizwa virusi vya Korona katika mkoa wa Muth
16-08-2020
Hatua ya mwisho katika mradi wa ujenzi wa kituo cha Alhayaat cha sita kwa ajili ya kuhudumia watu walioambukizwa virusi vya Korona katika mkoa wa Muth
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya wapo kwenye hatua za mwisho katika mradi wa ujenzi wa kituo cha Alhayaat cha sita katika mkoa wa Muthanna, kinacho jengwa kwenye eneo la hospitali ya ...